Sunday, January 27, 2013

BAADHI YA PICHA ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA ME AND YOU YA OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE.

Msanii Ommy Dimpozi Akikamua jukwaani

Video inafanyika Nairobi Kenya, me and you kwa wiki nyingine tena leo january  27 2013 imeendelea kushika nafasi ya kwanza kwenye top 20 za CLOUDS FM.


 
 Kampuni yake ya Unity Entertainment inayomilikiwa na msanii A.y imeendelea kukua sana hapa ikihakikisha kuwa video ya msanii wao Ommy Dimpoz Me and you
  inayofanyika nchini kenya inafanyika katika kiwango cha kimataifa hii ni muvua ya kutengeneza tunaisubiri kwa hamu.

No comments:

Post a Comment