Monday, January 28, 2013

HII NCHI SASA TUMEFIKA PABAYA ......APIGWA RISASI KWA UGOMVI WA SH. 100 YA MAJI !!!!


MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa alishindwa kumlipa
Tunakoelekea nchi hii sikui kusema kweli kama yamefikia hapa basi ni dhahiri sasa wananchi wenye pesa wananguvu kuliko serekli haya yetu macho ngoja tuone ila kiukweli serekali  inatakiwa kujipanga na kudhibiti matumizi ya silaha la sivyo tutakuja kusema tungalijua na huwa neno hili huja mwisho wa safari.

No comments:

Post a Comment