Thursday, January 24, 2013

HILI NDILO JIBU LA PICHA YA DIAMOND NA PENY VJ

IMG_0027
Ni ukweli mtupu kuwa Diamond Platnumz ndiye msanii kwa sasa anayezongwa na vyombo vya habri kuliko wengine na hii inatokana na ustar wake hili litafanya msanii huyu aendelea kuwa newsmaker kuliko msanii yeyote Tanzania.

 Kwasababu hauwezi kupita mwezi bila kuibuka kitu kitakachomfanya aandikwe tena na tena. na huu ndio ustar

Picha iliyozuwa utata baada ya kurushwa Facebook na msanii wa filamu nchini Skyner Ally inayomuonesha Diamond akiwa amelala usingizi wa pono na msichana anayedaiwa kuwa ni mtangazaji wa DTV, Penny Mungilwa aka Vj Penny.

  Picha hii inajieleza yenyewe kwa pozi walilolaa kuwa ni wapenzi ama ni one night stand?
Hata hivyo tulipowasiliana na Penny alisema hiyo ni picha iliyopigwa walipokuwa kwenye scene ya movie wanayoigiza pamoja ambayo amesema hana uhakika lini itatoka! 

Diamond na Pennyha ha ha ha we super star una mambo wewe ina maana na hii mmeshainyaka,,?hakuna lolote bwana hiyo ni picha tu nilipigwa na wale waandaaji wa movie ninayocheza na Diamond so hakuna lolote Diamond ni dogo langu hatuwezi kufika huko alisema peny 
  
Hili ndilo jibu ya kile nilichokiandika na kuwa ahidi kuwapa majibu soon
HAYA TUSUBIRI TUONE MOVIE YA PANY VJ NA DIAMOND PLATNUMZ 

No comments:

Post a Comment