Tuesday, January 29, 2013

HILI NDIO GARI ANAMILIKI VIDEO QUEEN WA YOU GUY YA P UNIT KENYA...NI YULE ALIYESABABISHA VIDEO KUFUNGIWA


.
.

Kwa mujibu wa mtandao wa Ghafla Kenya, yule mrembo alieng’aa kwenye video ya single mpya ya P Unit (You Guy) ambayo imefungiwa na kituo cha CITIZEN TV aitwae Vee Beiby anamiliki huu mkoko hapa, BMW Z3 Roadster.

No comments:

Post a Comment