 |
Mwili wa marehemu lidya aliyeuwawa kinyama huko dodoma |
 |
Wananch na wanafunzi wakisubiri mwili wa lidya huku wakiwa na majonzi |
 |
Raiya wa kigeni pia walifika kuuaga mwili wa marehemu lidya aliyeuwawa kinyama |
Mwanafunzi aliyeuwawa na watu wasiojulikana wakati anatoka kujisomea maeneo ya chuo lidya ameagwa rasmi leo katika hali ya simanzi haswa kwa wanafunzi wenzake ambao hadi sasa bado wanalilaumu jeshi la polisi kwa kutokutokuweka ulinzi wa kutosha japo wanayajua matatizo ya maeneo husika.
 |
Wanafunzi wakiwa na huunzi wakati wakiuaga mwili wa mwenzao |
 |
ki ukweli ni huzuni tupu |
Marehemu Lidya
mwenye umri wa miaka 57 anadaiwa kuuawa siku ya jumapili majira ya saa
nne za usiku pembezoni mwa maeneo ya chuo hicho chenye wanafunzi 5500
akiwa anarejea nyumbani baada ya masomo ya jioni.
Ni
simanzi,vilio,huzuni na majonzi katika vyunga vya chuo hiki kufuatia
tukio hilo na leo ndio wamemuaga rasmi mwenzao aliyekutwa na tukio hili
la kusikitisha ambalo linadaiwa kuyaweka katika mashaka na
wasiwasi mkubwa maisha ya wanafunzi hawa.
Licha ya kulitupia
lawama jeshi la polisi baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa baada ya kufikwa
na mkasa huo uliositisha safari ya maisha yake mwili wa marehemu Lidya
uliharibiwa vibaya na mnyama asiyejulikana kwa kunyofolewa
macho,masikio,pua,mguu na viungo vingine.Marehemu Lidya
mwenye umri wa miaka 57 anadaiwa kuuawa siku ya jumapili majira ya saa
nne za usiku pembezoni mwa maeneo ya chuo hicho chenye wanafunzi 5500
akiwa anarejea nyumbani baada ya masomo ya jioni.
Ni
simanzi,vilio,huzuni na majonzi katika vyunga vya chuo hiki kufuatia
tukio hilo na leo ndio wamemuaga rasmi mwenzao aliyekutwa na tukio hili la kusikitisha ambalo linadaiwa kuyaweka katika mashaka na
wasiwasi mkubwa maisha ya wanafunzi hawa.
 |
hiyo ndio hali halisi |
Licha ya kulitupia
lawama jeshi la polisi baadhi ya mashuhuda wanadai kuwa baada ya kufikwa
na mkasa huo uliositisha safari ya maisha yake mwili wa marehemu Lidya
uliharibiwa vibaya na mnyama asiyejulikana kwa kunyofolewa
macho,masikio,pua,mguu na viungo vingine.Mwili huo
umeagwa na kuelekea matombo morogoro kwaajili ya kumpumzisha marehemu
lidya leo. katika makazi yake ya milele mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi.
No comments:
Post a Comment