Wednesday, January 23, 2013

JACKLINE WOLPER ASEMA HATEGEMEI WANAUME BALI HUWA ANATAFUTA PENZI LA KWELI TU

Jacline wolper masawe
Mwanadada nyota na anayekimbiza sokoni kwa sasa jackline wolper masawe amesema kuwa yeye hababaishwi na wanaume wenye pesa kwani anaikubali sana kazi yake ya uigizaji ambayo amesema inamuingizia mkwanja mrefu unamtosha.

Moja ya picha za mkali huyo
Hapa akipokea tuzo ya ijumaa sex garl
Akitiririka na safu hii jack alisema kuwa yeye anaikubali sana kazi yake kwani humpatia mamilioni ya shilingi kwa wiki moja tu,jack ambaye watu wengi humchukulia kama mwanamke anayependa wanaume wenye pesa,Amesema sio kweli kuwa yeye hudili na wanaume wenye pesa ila inatokea tu kukutana nao kwenye biashara zake...Unajua mimi ni mfanya biashara nina super market yangu kubwa tu arusha kwa hapa dar nina maduka kadhaa kariakoo sasa mara nyingi nimekuwa nakutana na watu hao wenye pesa kutoka na mzunguko wa biashara.jack aliendelea kutuelezea kuwa anashangaa baadhi ya watu wanaojiita rafiki zake kumuongele eti amepunguza fujo za matanuzi kwakuwa hana bwana mwenye mkwanja kwa sasa.

Moja ya Tuzo alizowahi kupokea
Maisha yangu simtegemei mwanaume mimi alisema jack,Mimi kazi yangu tu ya filamu yananiingizia mkwanja mrefu unaoniruhusu kutembelea gari ya kifahari na kuishi nyumba ya kista sasa sioni sababu ya kuendekeza wanaume jack aliendelea kuweka wazi kuwa yeye anaumizwa na ma mapenzi kwani wengi wawanaume anaowapata hawajaamua kuowa bali wanatamaa ya ngono tu jack alisema kwa sasa yupo busy na kazi zake na hivi karibuni anategemea kuingiza filamu yake mpya dukani inayogombewa na makampuni mawili yaani steps na splash zote za jijini daresalam.

Mwandishi wetu alimuuliza vipi kuhusu mchumba ambapo jack alijibu kwa sasa sintosema tena kama ninae au sina maana nikisema kuna kunguru wamejiaanda kuwanyakuwa mabwana za watu kwa hiyo kama yupo utasikia tu kaka maana blog yako ni yetu sisi wasanii hivyo naamini kupitia kwako wtu wataju tu.

No comments:

Post a Comment