Wednesday, January 30, 2013

LICHA YA UTAJIRI WA MAJUMBA,MAGARI NA NDEGE YAO BINAFSI...PETER WA P.SQUARE ANUNUA NYUMBA MAREKANI

HII NDIO NYUMBA YA MSANII PETER OKOYE WA P.SQUARE ALIYONUNUA MAREKANI

HAPA NI SEBULE YAKE INAVYOONEKANAMSANII PETER OKOYE AKIWA KATIKA NYUMBA YAKE ALIYOINUNUA HUKU MAREKANI
HAPA AKIWA NNJE KWAKE
INAVYOONEKANA KWA NDANI KORDONI

PETER AKIMSAIDIA MKEWE LOLA KAZI ZA NDANI KATIKA JUMBA LAO HILO
AMA KWA HAKIKA NYUMBA NI NZURI
Wadau hiyo ndio nymba ya peter ndugu wa poul wa psquare kutoka nigeria ambaye kwa sasa ana miliki mjengo pande za kwa obama mitaa ya San Fransisco, California,marekani ni,nyumba hiyo ameinunua kwa N434.5 milliorn za ki nigeria

No comments:

Post a Comment