Tuesday, January 29, 2013

PICHA ZA LULU LEO ALIPOKUWA AKISHUGHULIKIA DHAMANA YAKE..

Lulu akiwa na mama yake
Hapa akielekea kwa msajili wa mahaka kukamilisha taratibu ili apate dhama


Kutoka kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya Lulu.
Mama akiangua kilio mara baada ya mwanae kupata dhamana na kuruhusiwa kuondoka

Lulu akiangua kiliao baada ya kutoka ndani jengo la mahakama machozi ambayo yalitafsiriwa kuwa ni ya furaha baada ya kusota jela toka aprili 7 mwaka jana.
Lulu alitulia na kuongea kidogo na waandishi wa habari


Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake.
Kutoka kulia ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila,
Gari lililokuja kumchukua lulu linavyoonekana kwa nnje

No comments:

Post a Comment