Sunday, January 27, 2013Mhh wapo wengi waliwabeza wanamuziki wa kizazi kipya si Tanzania tuu hata Mwanamuziki kutoka Uganda Bob Wine hakutarajia kufika na kufanikiwa kama alivyosasa, pichani ni “mjengo” wa mwanamuziki huyo. Kwa mahojiano kamoli tembelea gazeti tando la Miss East Africa.

No comments:

Post a Comment