Friday, January 25, 2013

MILIONI 20 ZA KITANZANIA ZA HITAJIKA LEO KUMUWEKEA LULU DHAMANA


Habari za uhakika kutoka katika chanzo makini zinzsema kuwa leo kuna uwezakano mkubwa wa msanii elezabeth michael kuachiwa huru kwa dhamana kufuatia kesi inayomkabili ya kumuuwa marehemu steven kanumba bila kukusudia

  Taarifa zinasema Lulu alitakiwa kupata dhamana toka siku ya jumatano january 23 lakini ikawa  imehairishwa kwa sababu jaji alipata dharura na pia kiwango cha pesa za dhamana kilikua hakijatimia.

 Habari hizo za kuaminika kutoka katika chanzo kikubwa cha habari kilichoongea na millard Ayo kimesema kuwa  ili msanii huyo apate dhamana inatakiwa milion 20 za kitanzania ili kumuwekea lulu dhama


Msanii lulu ameshikiliwa na polis tangu April mwaka jana kwa kosa la kumuuwa marehemu steven kanumba bila kukusudia nyumbani kwake maeneo ya sinza vatcan

Kwahiyo muda si mrefu wadau wa the super stars mtapata habari kama lulu amepata dhamana au lah

No comments:

Post a Comment