Friday, January 25, 2013

MKE WA MSANII 20% NAE AMEANZA KUIMBA

Witney aliyekuwa mke wa msanii 20%
Aliyekuwa mke wa msanii 20% ambaye waliacha 2012 anayejulikana kwa jina la Witney ameamua rasmi kuingia katika soko la muziki huku akiahidi makubwa ndani ya gemu hii la muziki.

20 pacent akiwa na mwanae
Witney anasema amejipanga kikamilifu na kwa sasa ana wimbo wake alichonga na safu hii na kutuhabarisha kuwa kwa sasa ataelekeza nguvu zake zote kwenye muziki kwani muda wote alikuwa analisoma gemu,,witney ambaye alifanikiwa kupata mtoto mmoja na mwanamuziki  20% kwasasa anasema ana maisha yake na ndio maana ameamua kufanya muziki kuwa sehemu ya maisha yake.

Tulimpigia simu mwanamuziki  20% bingwa wa tuzo 5 za KTMA  ambae alisema kwa kifupi namuombea afanikiwe salama katika ndoto zake

 Tulipomuhoji kama atakuwa tayari kumshirikisha katika nyimbo zake au kushirikishwa kwenye nyimbo za mkewe huyo wa zmani 20% alisema kuwa mimi nipo tiyari kwakuwa hapo unazungumzia kazi na mimi sikatai kazi kaka inapokuja swala la kazi unamaanisha ni pesa sasa kuna mtu gani ambaye anakataa pesa alihoji msanii huyo mwenye kupendwa sana haswa anapotowa nyimbo.No comments:

Post a Comment