Thursday, January 24, 2013

MKE WA MTU AVUA NGUO HADHRANI MEEDA CLUB SINZAUKISTAAJA ya musa utayaona ya firauni tukio hili linanikumbusha enzi zangu na kunifanya niamini kuwa maisha hayajirudii Jumamosi iliyopita ndani ya Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar kama kawaida ni siku ya  Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’ kutumbuiza maeneo yale na ndipo kilipozuka kioja cha cha aina yake kilicho waacha watu hoi huku wengi wakishangilia.

  katika hali ya kushangaza kama sio kusikitisha wakati onyesho hilo likiendelea,Mara aliibuka mwanamke mmoja aliyekuwa anacheza muda wote nakuanza kufanya vituko.
 Mwanamke huyo ambaye inasemekana  ni mke wa mtu alijikuta akijiaibisha mara baada  ya kuchojowa nguo zake zote na kubakia na nguo za ndani,
tukio hilo lilitokea mara baada ya muandishi wa Aman kutaka kumpiga picha mwanamama huyo ambaye alikuwa kautwika ulabu na kuona kama yupo pekea yake katika umati ule.

Balaa lilizidi pale mzee wa kijiko alipotangaza kuwa anataka watu washindane kucheza staili yao ya Kizigo na washindi watapewa zawaid ikiwemo pesa.


Hapo ndipo mwana mke huyo alipoibuka tena na kuanza kusakata mayenu kwa staili ya nyumbani kwao mwambenu huku watu wakimzidishia sifa kwakumshangiliaKama ilivyo ada waandishi wa habari hatukosi maeneo kama yale ndipo wote walipotowa camera zao kwa lengo le kupata habari ila yule mwanamke aligoma na kuanza kujibishana na muandishi wa amani,dada huyo alikuja juu zaidi na kudai yeye ni mke wa mtu hivyo hataki kupigwa picha kwani mumewe hajui kama yupo pale, muandishi huyo bila kujali maneno ya dada yule aliendelea kupiga picha kwa staili ya kuotea huku dada huyo akimtishia kuvunja kamera.
We kaka hebu tuheshimiane usinipige picha unajua mi ni mke wa mtu unadhani kila anayekuja hapa ni malaya sio alihoji dada huyo kwa sauti ya kilevi huku akiendelea kusaura nguo zake hadi kubaki na nguo za ndani tu

Baada ya kuvua ndipo alipojitokeza dada mmoja ambaye alikuwa maliwatoni na kusikika akihamaki kwa sauti ya kusisitiza


We wifi we We wifiii hebu acha ajinga hizo pombe gani sasa za kuvua nguo,???,,we unadhani kaka akiziona utamuambiaje,????,,,hebu vaa nguo bwana unajiabisha hapo,!!!! alimuambia dada huyo.. mwanamke huyo alisema ni wifi yangu kabisa huyu yaani mke wa kaka yangu wa damu...Ila sikio la kufa halisikii dawa cha ajabu pamoja na yote hayo mwanamke huyo kichefu chefu hakumsikiliza zaidi aliendele kusakata rumba kama yupo peke yake pale ukumbini
  Mwanamke huyo asiyesikia alitaka kufanya sinema kwani alizishika nguo zake za ndani na kutaka kuvua ndipo wanaume walipoona kuwa amevuka mipaka nao wakamua kumdhalilisha ,,wanaume hao walimuwahi kwa kumzonga  kwa kumshikashika na wengine kumtia vidole huku akitukana ndipo mwanamke huyo alipochukua nguo zake na kuanza kuvaa huku akiporomosha matusi.
  
Kusema kweli hadi leo hakuna anayejua kuwa mwanamke yule alifanya  kitendo kile cha kujidhalilisha kwa sababu ya pombe au kwakuwa alipigwa picha kwa hasira akaamua  kumkomoa muandishi. 

No comments:

Post a Comment