Monday, January 28, 2013

MSANII ELIZABETH MICHAEL AKISUBIRI DHAMANA YAKE

Msanii lulu akisubiri dhamana akiwa na askari pembeni kwa ajili ya ulinzi na usalama wake
Msanii wa filamu nchini lulu akiwa  Mahakamani sasa hivi kusubiri Kama atapata dhamana yake leo kama unakumbuka inahitajika milion 20 leo ili kumpa dhamana na pili hatujajua kama wametimiza masharti yaliyotakiwa , niko hapa mahakamani.... Nitaendelea kukufahamisha kitakachotokea kuwa na mm usitoke

No comments:

Post a Comment