Tuesday, January 22, 2013

"NIMENUNUA GARI MPYA......WATU WAMECHUKIA KAZI MNAYO"...WEMA SEPETU

 

Mwanadada nyota katika anga hili la filamu hapa bongo wema issak sepetu amelianika gari lake jipya aina ya Aud Q7 jeusi huku akivinjari nalo sehemu mbali mbali za jiji hili.Wema amekaririwa akisema anashangaa jinsi watu wanaumia na kutokuwa na ukaribu nae tena kisa gari hilo,Ambalo limemfanya wema atimize magari matatu ambayo ni mak x hariar

Wema akiwa na manager wake martin kadinda

Nilikuwa na marafiki wengi walionisapoti ila gari hili lilipofika nashanga wamenikimbia sasa hata sielewi jaman badala ya mtu kufurahi kuona mwenzio kapiga hatua ili na na mimi nikubebe siku ukikwama unanichukia.


Wema ambaye hakutaka kuweka wazi ni akina nani hao na wamechukizwa na nini aliishia kusema ili kujua wamechukia angalia nimewaita toka jana wakutane na manager wangu ili wapange kuna kazi nataka kuifanya nao ila hawajaja na kuna mtu wetu wakaribu na sisi alinipigia kuniuliza kama nimekosana na hao watu nilipomuuliza kwanini alisema ameshangazwa kuona huyo mtu hapokei simu wema na badala yake anasema anazingua bila kueleza anazingua nini.

Wema sepetuPicha za Gari mpya  ya  Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’
gari wema 2gari wema
Kwenye akaunti ya meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’

Gharama ya gari hilo inaweza kuanzia shilingi milioni 70 na kuendelea. 
 

No comments:

Post a Comment