Sunday, January 27, 2013

PICHA: MACHANGUDOA WAKIPELEKWA MAHAKAMANI....

Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakiwa Chini ya Ulinzi wa askari kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao 
 


Wanawake hao wakiwa na baadhi ya wateja waliokutwanao wakifanya ngono baadhi yao wakificha sura zao.

Wakiwasili kwenye mahakama ya jiji huku wakificha sura ili wasionekane.Hii ndio hali ya jiji la dar na kwa habari tu ni kwamba wengi wawanawake waliokamatwa ni wake za watu na wanafunzi huku wanaume waliokamatwa wakiwa ni waume za watu, kiukweli hali ni mbaya sana kwani kwasasa biashara ya uchangudowa imekithiri sana.

No comments:

Post a Comment