Tuesday, January 29, 2013

PICHA NYINGINE ZA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA OMMY DIMPOZ NA VANESSA MDEE – ME & YOU

Video imetengenezwa na Ogopa Dj’s Nairobi Kenya.
Ommy Dimpoz ameniambia camera kukodiwa ni dola za kimarekani elfu mbili kwa siku, timu ya Ogopa Dj’s ambao ndio wameifanya hiyo video ilikua zaidi ya watu 20, kuna dancers watatu wataonekana ndani yake, pia kulikodiwa mashine ya kutengeneza mvua.
Video imefanyika jumamosi iliyopita kwa siku moja tu kuanzia saa kumi na mbili asubuhi mpaka 9 usiku, ambapo kesho yake ambayo ni jumapili Ommy Dimpoz karekodi wimbo na Avrill kwenye studio ya Ogopa.
.
.
Vanessa Mdee ni mtangazaji wa MTV BASE na pia CHOICE FM 102.5 Dar es salaam.
.
.
Hii ni mvua ya kutengeneza ambayo ndio hiyo mashine yake ilikodiwa pia.
.
.
.
.
..
Avrill na Ommy Dimpoz.
????
.
.
.
Jaguar na Ommy Dimpoz.
Ommy Dimpoz na Buganya, hawa wasanii wa Kenya walikuepo tu eneo la tukio lakini hawatoonekana kwenye video.
picha kwa hisani ya millard ayo

No comments:

Post a Comment