Tuesday, January 22, 2013

RAYUU AMTUKANA SINTAH NA KUMUITA GUBEGUBE

Rayuu mwanadada asiyeisha vituko akiwa katika moja ya pozi
Sintah mwanadada aliyemtusi rayuu
Lile bifu linaloendelea kati ya wasanii wawili wa filamu sintah na mwana dada rayuu limefika pabaya baada ya rayuu kujibu mapigo.

kama utakumbuka baada ya rayuu kuzionyesha tatoo zake kipind kile sintah alimsema sana ila rayuu hakuonyesha kubadilika jambo lililoonyesha kumkera sintah.

Hii ndio picha aliyoiweka na kufanya sintah amuite kunguru asiyefugika
Moja ya picha za nusu uchi za rayuu
Hivi juzi rayuu ameweka picha nyingine ya kuonyesha kiuno chake tatoo yake huku nguo ya ndani ikionekana jambo lililomkera zaidi sintah na kumuita rayuu kunguru hafugiki swala hilo limemkera rayuu na kuamua kujibu mapigo na kumuita sintah gume gume lililoshindikana.

Mzozo huu ni a aina yake na kama hautaangaliwa kwa umakini basi unaweza kuleta madhara kwani kila mmoja anaonyesha kachukia.

                                          Haya ndio maneno ya rayu kwa sintah


No comments:

Post a Comment