Thursday, January 31, 2013

SERENGETI BOY WA WEMA SEPETU HUYU HAPA...AONYESHA JEURI YA PESA KWA WEMAMrembo asiyeishiwa vituko na anayeongoza kwakutajwa na vyombo habari bongo ndaniWema Sepetu  ameamu kuanzisha mahusiano mapya kwa kile kilichoelezwa kuchoshwa ni kujipoza na kulipa kisasi kwa DIAMOND

Wema amejikuta akinasa kwa kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la  Haidary Cavilla ambaye mwanzo jamaa huyo alikuwa ni mchumba wa marcy Galabawa aliyekuwa miss tanzania mwaka 2000.

Taarifa zinasema kuwa wema amenasa kwa Haidary kufuatia mkwanza mrefu alionao jamaa kilisema chanzo hicho kiukweli jamaa anamiliki mkwanja mrefu sana japo ni kijana mdogo sana kiumri inawezekana wema kampita kwa miaka mingi sana ila kutokana na pesa alizonazo dogo wema hajaangalia hicho yeye kaangalia pesa kiliendelea kutiririka chanzo hicho.

Inasemekana wema alidata  kwa kijana huyu ambaye ni serengeti boy wa wema kwa sasa kutokana na mambo mawili kwanza pesa pili kumchanganya ama kulipizia Diamond alikuwa mtu wake na ni baada ya kuweka ile picha waliolala na peny vj japo peny alikanusha na kusema ni movie jambo ambalo halimuingii wema akilini.

Ili kuonyesha jeuri ya pesa jamaa ameamua kumnunulia wema gari aina ya Q7 Aud jambo  lililomchanganya wema,chanzo chetu ambacho kipo karibu na wawili hao kimesema Haidary amemnunulia wema gari hiyo iliyozidi bei gari ya diamond aina prado ili kumuonyesha diamond kuwa wema ni zaidi yake alisema mnyetishaji huyo

WEMA AKIWA KATIKA POZI

Habari zina sema kuwa wema na serengeti boy wake wamepiga picha hizi wakiwa nymbani kwa wema  sepetu na  hatimaye mtu wao wa karibu kuzifujisha mtandaoni jambo lililomkera hidary japo kwa wema ilikuwa furaha kwani anaamini atakuwa amelipa kisasi kwa Diamond.

Kusema kweli kaka mimi nakaa na wema kwa karibu sana nachokuambia wema bado mapenzi yake yapo kwa diamond ila hana jinsi tu,,mimi binaafsi nimemuona mara nyingi  akiumia sana juu kuachana kwake na diamond unajuwa wema ana mapenzi ya kweli na akipenda huwa hajifichi ia ana bahati mbaya aliowapenda wote hawajampenda kwa dhati labda huyu wa sasa tuombe mungu,,maana toka wameacha na diamond hapa katikati wema alikuwa kadata kila akisikia diamond yupo na huyu mara huyu wema alikuwa mtu wa mawazo tu kilisema chanzo chetu

WEMA AKIWA NA DIAMOND KATIKA PENZI ZITO
Nadhani utakubaliana na mimi kuwa pamoja na kuwa na mashabiki wengi Wema sepetu ni mrembo Ambaye hana ujanja wa kukwepa skendo chafu  zinazomkabili kubadilisha wanaume .Alianza na nguo.

Hawa ni baadhi ya wanaume waliowa kuvunja amri ya sita na mlimbwende huyu;

1.HERRY SAMIR,,,MR BLUE
 2.KHALEED MOHAMED,,T.I .D
3. MAREHEMU STEVEN KANUMBA
4.JUMBE YUSUPH ,, JUMBE
5.CHARLES GABRIEL,,CHAZ BABA
6.DIAMOND PLUTNUM
7. CLEMENT  ( Bado  wako pamoja)
8. HAIDARY CAVILLA,,ALIYENUNUA Q7
Na wengineo...... Ambao kwa haraka haraka hatujawanasa

3 comments:

  1. KIFUPI USANII HUWA NI MFANO LAKINI SIO UCHAFU WEMA NA MWENZIE DIAMOND NI MAMBULULA NA MALIMBUKENI HAMNA LOLOTE JIPYA WATUONESHALO ILA UPUUZI NA USHAMBA2.

    ReplyDelete
  2. Acheni kuhesabu mambwana,Nani MSAFI? yeye anaonekana zaidi sababu mwaijua yawezekana hata nyie mnao zaidi ya WEMA ila kwakuwa hamna STATUS nani atajua?

    ReplyDelete
  3. Aachwe jamani mm naamini huyo dada si mchafu sema anamapenzi ya dhati kwa awapendao,sema hapati wenye mapenzi ya dhati kama yeye,naamini akipata wakumpenda kwa dhati basi hamtosikia wala kuandika hayo

    ReplyDelete