Wednesday, January 23, 2013

SHAKIRA AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME....
MSANII    Anayetikisa katika anga la muziki wa Pop  duniani kutoka  nchi ya Colombia, Shakira jana katika website yake ametangaza kuwa  kajifungua mtoto wa kiume  mjini Barcelona, Hispania.Shakira amesema anayofuraha kwa kupata mtoto wake huyo. 
 
Taarifa hiyo iliyoandikwa kupitia website yake  iliandikwa kwa Kiingereza, Spanish na Catalán:


“We are happy to announce the birth of Milan Piqué Mebarak, son of Shakira Mebarak and Gerard Piqué, born January 22nd at 9:36pm, in Barcelona, Spain.The name Milan (pronounced MEE-lahn), means dear, loving and gracious in Slavic; in Ancient Roman, eager and laborious; and in Sanskrit, unification.”

Baba wa mtoto huyo ni mchezaji wa FC Barcelona, Gerard Piqué.

No comments:

Post a Comment