Saturday, January 26, 2013

SIKUKUU YAZIDI KUMSOTESHA LULU MICHAEL GEREZANI AKOSA DHAMANA..

Msanii Elizabeth michaell ambaye yupo gerezani kwa kosa la kuuwa bila kukusudia amejikuta akikosa dhamana kutokana na sikuku ya maul
kama utakuwa msomaji mzuri wa habari zetu tulikujulisha kuwa lulu angepata dhamana january 25/2013 lakini imeshindikana kwa sababu hiyo.
Lulu msanii  anayehusishwa na kifo cha kanumba
Habari kutoka ndani zinasema kuwa walijipanga kumtowa leo ila kwa bahati mbaya siku yenyewe imeangukia pa baya alisema mnyetishaji huyo. mnyetishaji huyo aliendelea kusema dhamana hiyo imesogezwa  mbele  hadi january 28 mwaka huu
Msanii huyo  ambae anakabiliwa  na kesi ya kumuuwa msanii mwenzie steven kanumba bila kukusudia ni lazima awe na milioni 20 ndio atapata Dhmana
Lulu alipatwa na mkasa huo wa kuhusishwa na kifo cha nguli huyo wa filamu tanzania April 2012 mwaka jana  na ndio siku lulu aliposweka  lupango kufuatia kesi hiyo

No comments:

Post a Comment