Sunday, January 27, 2013

TAMASHA LA USIKU WA MASTAA WA FILAMU NI ZAIDI YA BURUDANI....TAZAMA PICHAJacob stephan JB  Ama bonge la bwana akikata mauno kwa sana kuonyesha ye mkaliJacob
 
Queen wa bongo movivie Jacqueline Wolper akitowa mkono wa  'hi' kwa mashabiki  zake waliomshangilia kwa tukio hilo
 

Hivi ndivyo kundi hili la Scorpion Girls walivyowajibika jukwaani katika tamasha la usiku wa mastaa wa Filamu huku wakiongozwa na Isabela mpanda

 
Snura Mushi akifanya yake jukwani na kuwapagawisha mashabiki
 
 Mastaa wa filamu wakiwa jukwaani kuwasalimia mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
 
 Msanii Afande Sele akiwarusha mashabiki ndani ya Dar Live katka usiku wa mastaa
Kingwendu kama kawaida yake naye alifanya vitu vyake.
 
Tundaman aliwakilisha vizuri na kuwafanya mashabiki wa furahiye onyesho
 
 Richie naye alikata mauno kama hana akili nzuri kuupamba usiku wa mastaa
 
 Dk. Cheni na mwanadada wakienda sambamba kwa mauno
 
Shamsa Ford akitowa hi kwa mshabiki wake
 
  Huyo ndio bi mwenda mwanamama anayekinukisha mbaya katika gemu ya filamu bongo hapa akipokelewa kwa shangwe baada ya kupanda katika jukwaa la Dar Live.
 
  Hapa ndio mwaisho wa misemo na mashairi si mwingine ni Mrisho Mpoto akiwapa raha mashabiki.
 
 Afande Sele akiwapa 'hi' mashabiki wake
 
Mgeni rasmi katika tamasha hilo ambaye pia ni Meya wa Ilala, Mhe. Jerry Slaa akiwasabahi mashabiki.
 
Nyomi iliyohudhuria tamasha hilo.
 
Afande Sele akiwa amebebwa na mashabiki.
 
 Bi. Mwenda akiwa kachizika  na kuonyesha machejo yake stejini.
 
 Ilikuwa ni full burudani ndani ya Dar Live.
 
Snura na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa kuhakikisha mambo yanakwenda sawa
 
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
 
 Shilole akiwapa raha mashabiki hakufanya makosa
 
Burudani zikiwa zimepamba moto mahali hapo.
Wanenguaji wa Shilole wakimpagawisha shabiki aliyepanda jukwaani kama kawaida yao


Mdau burudani ilikuwa ya aina yake na kila mtu alifurahiya burudani na kubadilishana mawazo na mastaa wa filamu jambo lililoleta mvuto wa aina yake kwa waliohudhuria the super starstz ilishuudiwa mashabiki wakiwa na mastaa wawapendao huku wakiongea na kubadilishana namba za simu lengo likiwa ni kuwainua kisanii wasiojiweza ili nao wawe mastaa wa kesho kusema kweli jambo walilolifanya jamaa wa bongo movie ni jambo la kuigwa kwani ni nadra kwa mashabiki wao kupata nafasi yakuwaona wote kwa pamoja kama jana.
 
Raha zikizidi kushamiri Recho saguda akifanya yake
 
 Baadhi ya mastaa wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi, Mhe. Jerry Slaa (katikati).
 
 Sabrina Rupia ‘Cathy’ katika pozi. 
 
Baadhi ya mastaa wa filamu wakiwa katika picha ya pamoja na rais wao Mwakifwamba (wa pili kulia).
 
 Mrisho Mpoto akiwa katika pozi.
 
Tundaman akipozi katika Red Carpet.
 
 Rais wa Shirikisho la Filamu nchini (TAFF), Simon Mwakifwamba katika pozi.
 
Jack Wolper katika pozi.
 
Mrembo Rose Ndauka katika pozi.
 
Kingwendu akipozi na watoto katika Red Carpet.
Hiyo ndiyo hali halisi ya tamasha la usiku wa mstaa lililofanyika pale katika kiwanja cha burudani mbagala dar live mambo yalikuwa mazuri na palifana sana.

The super starstz inawaomba wasanii muwe na moyo wa upendo kama muliouonyesha jana sio iwe kwa sababu pale mlikuwa mnaoneka mbele za watu naamini mtashirikiana na uongozi wenu chini ya raisi wenu bwana Saimon mwakifwamba 
HONGERA BONGO MOVIES

No comments:

Post a Comment