Tuesday, January 29, 2013

MAPENZI YA TIWA SAVAGE NA MANAGER WAKE SASA HADHARANI..HISIA NZITO ZATAWALA.
.
Hii ndio picha waliyopiga wakiwa kwenye boti Dubai, na ndio imeipa uzito stori yao ya mapenzi.
Hiyo picha hapo juu imepostiwa na mwimbaji staa wa Nigeria Tiwa Savage akiwa na meneja wake ambapo wataalamu wa mambo wanasema picha hiyo imeashiria na kuweka uzito zaidi kwenye taarifa zinazoaminika kwamba Tiwa yuko kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na meneja wake aitwae Tee Billz.

Vyombo vya habari nchi naigeria vimekuwa vikiripoti uhusiano huu kila mara japo kama wamekuwa ni watu
 wakukataa ila kwa tiwa ni kama mtu anayekubali na kukataa,ila moyoni mwake anataka mambo yawe hadharani kwani amekuwa akipiga picha kwa fujo na kuzi post sehemu mbali mbali katika mitandao ya
 kijamii huku akizisindikiza na maneno yanayoashiria uwepo wa kitu


Gazeti moja maarufu nchini naigeria liliwahi kuripoti habari ya tiwa kuvishwa pete na manager wake na alipohojiwa tiwa alisema ***I am not engaged and I am not dating Tee Billz. If I am, you would have seen a ring on my finger indicating that I am engaged. It’s just a rumour.” She then went on to describe her ideal man; “I will like my man to be tall, dark, handsome and must be fit. He must have a good heart, work hard and must care a lot about me.”maneno ya tiwa ni kama yamewatibuwa wanaigeria wanaowajua na kujikuta wakijibiwa baada yakutundikwa kwenye mitandao

2 Responses to "“I’m Not Married” – Tiwa Savage"

  1. lanre says:
    its a fucking lie…..both of dem leave in the same apartment at 1004 ESTATE V.I…It seems the guy is from YANKEE cos he s got accent…The guy is tall and deyu stay at block B10 FLAT…..Tiwa drives a red volkswagen coupe…so wat the hell is she saying? please be proud of your man gal
    Reply


    Maneno hayo yalizidi kuchanganya watu kwani mara nyingi wawili hao walibambwa sehemu mbali mbali wakila raha kama mke na mume.
 Wawili hao kwa sasa wako Dubai wanakokula bata la kutosha ambapo Tiwa imekua sio tabu kwake kuonyesha hisia zake na kumshukuru meneja wake kwa msg kadhaa kupitia twitter ambazo zina maudhui ya kimapenzi. haya ndio maisha ya mastar wetu
Wadadisi wa mambo nchi naigeria wameongea na sisi kwa njia ya simu na kuweka wazi kuwa wawili hao ni kama wanajiibia wenyewe kutoka mfuko wa kulia kuweka kushoto kwani mapenzi siku zote hayajifichi pia waliendelea kuweka wazi kuwa kwa upande wao hawaoni sababu ya kujificha kwao wakati kila kitu kinajionyesha.

No comments:

Post a Comment