Tuesday, January 22, 2013

WADAU WA BURUDANI MSIKOSE PALE DAR LIVE MBAGALA

Ndio tangazo la show yenyewe
Huu utakuwa ni usiku wa aina yake kwa wale wapenzi wa burudani kukutana na wale ma super nyota katika anga la filamu hapa nchini katika viwanja vya Dar Live.

Onyesho hili litakuwa ni kwaajili ya kuchangia shirikisho la filamu nchin TAFF kupata pesa kwa ajili ya kujiimarisha na kutengeneza ofisi za shirikisho hilo usikose kuchangia fika na u show love na wanafamilia ya bongo movie.

Hii itakuwa ni tarehe jan.26/2013 na kiingilio V.I.P ni 15000 kawaida wakubwa ni 7000 watoto 2000
kumbuka burudani kibao zitakuwepo huku twanga pepeta wakifunga kazi kwa sebene la maana kama kawaida yao.

Mbali na Twanga pia wasanii wata tandikiwa read  capet na watakohudhuria watapata nafasi yakuongea na mastar hao ikiwa ni pamoja na kupiga picha nao kwa stail ya kirafiki zaidi.

No comments:

Post a Comment