Tuesday, February 26, 2013


AIBUU!!... MSANII TIMBULO AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI BURUNDI, ANGALIA PICHA CHINI AKIWA NA MADAWA.


Msanii Timbulo akijuta baada ya kukamatwa.

Hapa akiendelea kutoa maelezo kuhusiana na Madawa hayo Hatari.

Kuna tetesi kuwa msanii wa Bongo flava maarufu kwa jina la Timbulo, ambaye amepata umaarufu mkubwa kutokana na umahiri wa kuimba katika nyimbo
zake kadhaa kama  Domo Langu, Waleo Wakesho, Samson na Delilah, amekamatwa mjini Bujumbura kwa tuhuma za kukutwa na madawa ya kulevya. Timbulo alikuwa huko katika kufanya mipango ya kufanya maonyesho kadhaa nchini Burundi mwezi April mwaka huu. (Habari na Picha zote kwa hisani ya www.thechoicetz.com)

No comments:

Post a Comment