Tuesday, February 19, 2013

TUKIO ZIMA LA KIFO CHA PADRI ZANZIBAR, HALI ILIKUWA HIVI


 Sehemu ya Waumini wakiwa wenye majozi muda mfupi baada ya kupata habari za kifo cha Paroko wao wa  Kanisa la Katoliki Minara Miwili Zanzibar, Evarist Mushi

Padri Cosmo Shayo(Kulia)akizungumza na viomgozi wa kanisa kuhusiana na tukio la Paroko Evarist Mush kushambuliwa na risasi 
Watu wakiwa wametaharuki wasijue la kufanya mara baada ya kupata habari za kifo cha paroko mushi
Waumini mbalimbali wakiwa nje ya viwanja vya hospitali ya mnazi mmoja baada ya Paroko wa Evarist Mush kushambuliwa na risasi

No comments:

Post a Comment