Sunday, February 03, 2013

BREAKING NEWS: PPF TOWER INAWAKA MOTO


PPF Tower inawaka moto muda huu, Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo na vitendea kazi wanashindwa kupanda juu kwenda kuuzima na mpaka sasa wanaendelea na jitihada za kuuzima hakuna tarifa mbaya hadi sasa tutawajulisha zaidi nn kinaendelea

No comments:

Post a Comment