Saturday, February 23, 2013

CHAZ BABA ADONDOSHA MILIONI 1.9 UKWELI AMBAYO NI GHARAMA YA MAHARI


RAIS wa Bendi ya Muziki wa Dansi ya Mashujaa, Charles Gabriel Mbwana ‘Chaz Baba’ amemchumbia demu mmoja aitwaye Rehema Sospeter Marwa....

Akizungumza na mwandishi wetu, Chaz Baba alisema kuwa, amefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa, Rehema ndiye mwanamke sahihi anayestahili kuingia naye kwenye ndoa.

“Kwa kifupi Jumapili iliyopita nilishamtolea mahari Rehema na huyo ndiye shemeji yenu. Nilitakiwa kutoa shilingi 1,900,000, nikalipa nusu na siku chache zijazo nitamalizia ili niweze kufunga ndoa,” alisema Chaz Baba

No comments:

Post a Comment