Tuesday, February 12, 2013

DIAMOND AFUNGUKA JUU YA MAHUSIANO YAKE NA VJ PENNY..ASEMA YEYE NDIO KILA KITU KWAKE


Penny
Katika kile kinachoonekana kuwa Penny na mama yake Diamond zinaiva, hivi karibuni walipiga picha ya pamoja walipomsindikiza Diamond kwenye show ya Kigamboni.
Mama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa DiamondMama yake Diamond (katikati), Penny kulia na rafiki wa Diamond
 
 Siku za hivi karibuni kumekuwepo na ‘speculation’ kuhusu kama Diamond Platnumz na mtangazaji wa DTV VJ Penny ni wapenzi baada ya kusambaa kwa picha kwenye mitandao ya kijamii inayowaonesha wakiwa pamoja kitandani.

Juzi Diamond alithibitisha rasmi kuwa kwa sasa anadate na mrembo huyo kwa kupost picha ya Penny (hiyo chini) kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: #MaBabyMama #De’MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident….. Wadadisi wa mambo wameiambia blog hii pendwa kuwa kwa sasa wawili hao wamekuwa kama mke na mume kwani kila sehemu wapo wote na imefikikia penny analala na kuamkia kwa diamond,thesuperstarstz imemtafuta diamond bila mafanikio huku peny akipokea simu yake na kukata mara alipotajiwa kuwa anaongea na muandishi.
 
Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkaji 

Diamond (katikati) akiwa na Penny (wa tatu kutoka kushoto) na washkaji

No comments:

Post a Comment