Wednesday, February 13, 2013

FACEBOOK YAVUNJA UCHUMBA WA MTU BAADA YA MESSAGE ZA MAPENZI KUNASWA


Kaka Mmoja wa hapa Dar ameamua kuvunja uchumba baada ya kukuta massage za mapenzi katika facebook wa mwanamke ambae alikuwa amuoe siku si nyingi ...Kaka huyo alikwishakuwa amemtolea mahari msichana huyo..

Kisa kilianza hivi: Msichana alikuwa safari sasa akataka kitu katika e-mail yake kwa vile alikuwa safarini akamwambia Mchumba wake aingie katika e-mail yake ili amprintie hiyo document aliyokuwa anaihitaji so akampa password...Bila kujua kuwa Facebook huwa kama hujaweka Off Text Notisfication  message zote unazo andikiwa na watu zinaingia kwenye e-mail unayotumia kuingilia Facebook kama Notisfication...

Boy friend Baada ya kuingia alikuta message nyingi za wanaume wakiwemo marafiki zake ambao wanatoka kimapenzi na Mchumba wake....Message zingine msichana alikuwa akisifia hao wanaume wanavyojua kufanya mapenzi...yaani wanavyomridhisha wakiwa Sita kwa Sita..

Mvulana akaziprint msg zote na kuzipeleka kwa wakwe ili arudishiwe Mahari yake.
JE WEWE UNGEFANYAJE?.....TOA MAONI YAKO HAPA

No comments:

Post a Comment