Friday, February 08, 2013

HII NDIO NYUMBA ALIYOJENGA NA ANAYOISHI BABU WA LOLIONDO


Hapa ni kwake Samunge Loliondo Arusha na hapo kulia alikua ananionyesha mabomba ambayo yatatumika kwenye mpango wake mpya ambao atauzungumzia kwenye AMPLIFAYA ya leo CLOUDS FM kuanzia saa moja usiku, ataizungumzia pia hiyo nyumba na mali nyingine anazomiliki.

.Picha kwa hisani ya milad ayo

No comments:

Post a Comment