Sunday, February 03, 2013

HIVI NDIVYO BUI BUI ALIVYO VUNJIKA MIGUU YOTE..ASEMA ANAHITAJI DUWA ZETU

MSANII BUI BUI AKIWA HOSPTALI AKITIBIWA MIGUU ILIYOVUNJIKA KWA AJALI YA PIKI PIKI

Msanii bui bui yupo  hosptalini kwa sasa akiuguza majeraha aliyoyapata mara baada ya kupata ajali mbaya ya piki piki  iliyosababisha kuvunjika miguu yote miwili kwa sasa msanii huyu yupo muhimbili  na amewaomba watanzania kumuombea duwa ili apone.

Bui bui alivuma na wimbo kama Nimekusamehe uliomsimamisha vyema na baadae kuachia nyimbo nyingine nyingi 

The super stars tz inampa pole msanii huyo kwa yaliyomkuta na kumuombea mungu apone haraka.

No comments:

Post a Comment