Friday, February 22, 2013

HONGERA MAMA NATASHA KWA KUPATA MCHUMBA

Mama natasha akivishwa pete ya uchumba
Napenda kumpongeza  mama Natasha (Susan ) kwa kuchumbiwa, Mungu ni mwema 

kwa wale wadada wanolazimisha ndoa jamani  ninawapa  usia msilazimishe ukija wakati wako utaolewa tu.


No comments:

Post a Comment