Tuesday, February 12, 2013

KOCHA WA NIGERIA KUJIUZULU BAADA YA KUIWEZESHA TIMU HIYO KUTWAA UBINGWA WA AFCON


Kocha wa timu ya soka ya Nigeria Stephen Kishi ametangaza kujiuzuru mara tu baada ya mechi ya fainali kwisha.Kocha huyo aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na moja ya vituo vya redio huko Afrika Kusini.

Pia matangazaji wa Super Sport alithibitisha kujiuzuru kwa kocha huyo kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, aliandika haya “stephen Keshi has just announced that he handed over his resignation letter after the game exclusively on 083Sport@6With Marawa on MetroFM”

No comments:

Post a Comment