Friday, February 01, 2013

KENYA WADAI KWAMBA ALLY KIBA ANAMIPANGO YA KUJIUNGA NA U FREEMASON ( ILLUMINATI)

Ali-Kiba
Mtandao Kenya Daily Post umemtaja Ali Kiba kuwa miongoni mwa majina ya mastaa barani Afrika wanaohisiwa kujiunga na jamii ya siri ya Illuminati.


Umesema majina hayo yamekuwa yakizungumzwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii. 

Wasanii wengine iliyowataja ni pamoja na Wizkid, Camp Mulla, P-Square(wanaodaiwa kumtoa kafara mama yao), sold their souls to the devil for fame), Tb Joshua, Cabo Snoop, Asamoah Gyan, Jozi, D’banj (Godfather of illuminati in Africa), Sarkodie, Ice Prince, Genevive Nnaji, Teargas (South Africa), Chameleone,Octopizzo, Nonini, Nameless na Avril

No comments:

Post a Comment