Sunday, February 03, 2013

MSANII WA BONGO FLEVA BUI BUI APATA AJALI YA PIKI PIKI AVUNJIKA MIGUU YOTE,,,DUWA ZAHITJIKA HALI YAKE NI MBAYA

MSANII BUI BUI

MSANII BUI BUI ALIYEPATA AJALI NA KUVUNJIKA MIGUU
MSANII WA BONGO FLEVA BUI BUI APATA AJALI YA PIKI PIKI NA KUVUNJIKA MIGUU YOTE MIWILI NA MIKONO KUJERUHIWA VIBAYA SANA YUPO MAHUTUTI MUHIMBILI WODI YA KIBASILA,WATANZANIA TUSHIRIKIANE KUMWOMBEA HALI YAKE NI MBAYA SANA.THE SUPER STARS TZ INAMPA POLE MSANII HUYO NA KUZIDI KUMUOMBEA KWA MUNGU AMPE WEPESI WAKUPONA ILI TUWE PAMOJA TENA

1 comment:

  1. ni justin pa congo/uvira nakupa pole sana kijana mungu iko pamoja na wewe

    ReplyDelete