Tuesday, February 19, 2013

MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

Mtoto Aneth Johannes aliyechomwa moto na
Wilvina Mukandala

Wilvina Mukandala akiwa mahakamani          


                                Wilvina Mukandala akiwa ha amini 
 
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo ,kisha kukatwa mkono hospitali.
 
Baada ya ushahidi kukmilika mahakama imemtia hatia na kumhukumu kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama ya wilvina
 
Inapaswa tuelewe kuwa mtoto ni tunu na zawadi ya pekee toka kwa mungu hivyo haipendezi kumgeuza ngoma, thesupestarstz inampa pole mtoto Aneth na kuitaka serekali kupitia upya sheria zake ili kuweka  adhabu kali zaidi kwa watakao nyanyasa watoto,sisi tuna amini mtoto anaelekezwa na na si kupigwa.

No comments:

Post a Comment