Monday, February 11, 2013

PICHA 3 ZA MWIGIZAJI MATUMAINI AKIWA NYUMBANI KWAO BAADA YA KUTOKA HOSPTALI


Kwa wiki kadhaa taarifa zilisikika sehemu mbalimbali Tanzania kwamba mwigizaji huyu mgonjwa amekwama Msumbiji hivyo alihitaji michango ya Watanzania ili arudi nyumbani, ni kweli alikwama lakini alifanikiwa kurudi Tanzania wiki iliyopita.

Yote aliyoyasema kuhusu anachoumwa na mengine yatasikika kwenye AMPLIFAYA Feb 11 2013 saa moja usiku CLOUDS FM.
 


Picha ni kwa hisani ya millardayo.

No comments:

Post a Comment