Thursday, February 14, 2013

WASANII WASEMA ROSE NDAUKA NI TAPELI,,,, YEYE AIBUKA NA KUSEMA WASANII HAWANA UVUMILIVU
MSANII ROSE NDAUKA
 
Baada ya kuibuka kwa stori kibao mtaani zinazo muhusisha star w filamu ndani ya bongo rose ndauka kuwa ni tapeli msanii huyo ameibuka na kuzungumza na sisi baada ya kimya kingi na stori kibao kuzagaa mtaani juu ya kuingia mitini na ‘mkwanja’ wa  waigizaji  wapya.

Sakata hilo limekuja mara baada ya msanii huyo kufanya usaili wa kutafuta vipaji vya wasanii wachanga kwa lengo la kuwachezesha filamu mara watakaposhinda katika usaili huo ambapo wasanii hao hununua fomu ya kujiunga.

Akizungumza na thesuperstarstz Rose amesema ,,,,Si kweli na sijawahi kula pesa ya mtu, wakati rose hivyo thesuperstarstz ili pigiwa simu na mdau mmoja na kutujulisha juu uwepo wa kundi la wasanii kufika kwenye  ofisi za rose ndauka zilipo maeneo ya kinondoni  Jijini Dar kudai fedha  zao  baada ya kushinda usaili uliofanywa na  Rose  na kuambulia  patupu pasipo kushirikishwa katika filamu yoyote ya msanii huyo. .

Rose alikaririwa pia akizungumza na clouds FM na kusema kuwa yeye sio tapeli na hajamdhulumu mtu alisema rose.
Wakati na piga stori na msanii huyo ndipo nikapata ujumbe ulionijulisha uwepo wa kundi la wasanii waliofika kwenye  ofisi zake zilipo maeneo ya kinondoni  Jijini Dar kudai fedha  zao  baada ya kushinda usaili uliofanywa na  Rose  na kuambulia  patupu pasipo kushirikishwa katika filamu yoyote ya msanii huyo.
Tulimuuliza rose na hapo ndipo alipofungua na kuweka waziKaka nielewe Sijawahi kuchukua fedha ya mtu na kumnyima nafasi, kinachotokea ni tatizo la wasanii kukosa uvumilivu kwani si rahisi kumchukua kila mtu aliyeshiriki na kushinda usahili na  kumuweka kwenye filamu,   tunachokifanya ni kutoa nafasi moja  kutokana na kipaji halisi kisha wengine wanafuata, lakini ajabu naona wengine wanalalamika bila  kuelewa  lakini sijawahi kula hela ya mtu”  alisema  Rose.Thesuperstarstz iliwasiliana na mmoja wawasanii hao ambaye alijitaja kwa jina moja tu la krish na kusema kuwa,,Mimi binafsi pesa yangu ataitowa yeye si anajifanya mjanja hapa kafika anatataka kututapeli sisi alihoji msanii huyo n kuongeza kuwa kama hatarudisha pesa zao watampandisha mahakamani kwa kuwatapeli.

No comments:

Post a Comment