Friday, February 08, 2013

TIWA NA MENEJA WAKE SASA MAMBO HADHARANI...WAAMUA KUTEGUA KITENDAWILI KWA KUVISHANA PETE


.
.
.
.
Habari za kuamini kutoka Naija zinasema kwamba staa wa muziki Afrika Mnigeria Tiwa Savage amevishwa pete ya uchumba na meneja wake aitwae Tee Billz ambae wamekua kwenye mapenzi mazito kwa kipindi kirefu lakini kwa kufichaficha.
kama utakumbuka habari za tiwa niliziandika hapa na kueleza kwa undani mapenzi yao japo wao wamekuwa ni watu wakukataa kila wakati lakini kwa sasa wameamuaa kuweka wazi kila kitu.

Tee Billz amemvisha Tiwa Savage pete hiyo ya uchumba wakati staa huyo wa kike akisherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo taarifa za kuaminika ni kwamba wawili hao wanampango wa kuona kabla ya mwisho wa mwaka huu.

No comments:

Post a Comment