Tuesday, February 12, 2013

"WASANII WENGI WA KIBONGO WANATEGEMEA UCHAWI"...T.I.DMnyama TID amefunguka kuizungumzia ‘indirectly’ scandal inayomzunguka hitmaker wa Kesho, Diamond ya kupata mafanikio kwa kutumimia waganga wa kienyeji.Kupitia Twitter Top in Dar ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed alitweet kwa utani akisema, “ I really want to meet a witch doctor who can make me win big brother money ntatoa percentage we go thru a contract,Yupo?!

Tuliamua kumuuliza kama anamaanisha alichokiandika ambapo alijibu, “ am kidin mate I just heard some of them were making foolish artist look big ndo maana I make fool out it.”

Akijibu swali kama anaamini katika uchawi ama kama unaweza kumsaidia msanii asiye na kipaji afanikiwe, TID alisema, “I don’t mean nobody all I know is all this mathaf**z they don’t have talent all they have is witchcravity,huh.

1 comment:

 1. diamond ni mkali na ataendelea kuwa hivyo. ukiona maeanguka ujue mda wake umeisha kwakuwa hakuna atakae kuwa mkali milele.
  watu watajitahid sana kumshusha lakin ukweli utabaki kuwa yeye ni mkali. hao waganga waache unafki, kwenda kujitangaza kwenye tv wametumwa au wanajaribu kujitangazia biashara
  kama waliweza kuua nyota za hao wasanii waliosema basi wangeua na ya diamond wasingekuja kote huku
  hayo mambo hayakuanzia kwake mpaka marais wanaenda kwa waganga. simba na yanga itakuwa wewe diamond.
  mpaka hayati nyerere walimzindika wakati anaenda kuikomboa nchi ije kuwa wewe.
  kip it upp diamond. mafanikio yako ndo yanaleta yote haya.
  "UNAPOANZA SAFAR WATU WANAKUTIA MOYO, UKIONESHA MAFANIKIO VIKWAZO LUNDO".
  DIAMOND ARE FOREVER........!!!!!!!!!!

  ReplyDelete