Friday, February 01, 2013

WEMA ACHUKUWA FOMU ZA KUJIUNGA NA BIG BROTHER (BBA)

WEMA SEPETU
Mwanadada diva kunako bongo movies wema sepetu amechukua fomu za kujiunga na lile shindano la Big brother kule south Afrika.
Kwa habari kama mambo yatakwenda sawa wema anaweza kuwa kati ya wale washiki watakaozama katika ule mjengo wa kaka mkubwa kule bondeni so macho na akili zetu tuzielekeze hapa na mimi nitawajuza haraka itakavyokuwa

No comments:

Post a Comment