Saturday, March 30, 2013

    RAY ATOWA PICHA YA COVER YA TWISTED FILAMU MPYA YAKE MPYA INAYOTARAJIWA KUINGIA SOKONI

  Cover la Twiste ndio litakuwa na muenekano huo wadau wa filamu Tanzania

Wadau wa filamu kwa mara nyingine tena kampuni ya rj inashuka na filamu ya Twisted kaa mkao wa kula kitu kinakaribia kupakuliwa kwani kimepikwa kimeiva

No comments:

Post a Comment