Friday, March 08, 2013

MWANAMZIKI AMUITA SHABIKI JUKWAANI NA KUANZA "KUDENDEKA" NAYE Baada ya Mziki kukolea Msanii Akimuita shabiki stajini ili wacheze naye lakini mambo yalikolea zaidi pale walipojikuta wana kisiana stejini kitu kilichosababisha minongono kwa mashabiki
 Taratibu walianza kama utani mara ndimi zao zikagusana ghafla demu akanyoosha mikono yake na kuanza kumkumbatia jamaa na shughuli ikaanza jambo liliwashangaza mashabiki huku wakipiga kelele kwa kushangilia

 
Kelele zilipozidi  jamaa alivua nguo ya juu na kujifunika na kuendelea kula mate kama kawa  watu walizidi kushangili huku baadhi ya wanawake walisikika wakisema kuwa mwanamke yule kwadhalilisha sana kwa kitendo kile na  wamemtaka kuwaomba radhi kwani hata kama ni ushabiki sio wa kihivyo,wengine wamesikika wakimponda msanii mwenyewe na kudai hajiheshimu kwani mwanamke ndio kwanza unamuona leo hujui anatoka wapi hujui kama ni malaya unakurupuka na kuanza kumla mate.

Taarifa zinazidi kusema mara baada ya shoo ile watu waliwaona wawili hao wakiwa pamoja kama watu waliojuana miaka kumi iliyopita na hata wakati wakuondoka waliondoka pamoja bila kufafanua walitumia usafiri wa pamoja au ilikuwaje mapaparazi wetu wa the superstarstz bado wanafutilia swala hili kiundani na tutawaletea zaidi kwani hii ndio kazi yetu kukujulisha juu ya maisha halisi ya ndani na nnje ya mastaa.

No comments:

Post a Comment