Friday, March 29, 2013

BREAKING NEWS: JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM LINAWASHIKILIA MHANDISI MKUU NA MHANDISI WA WILAYA YA ILALA

 
Pichani hapo Juu ni Moja ya bango linaonyesha Mhandisi Mkuu na wengine waliohusika katika ujenzi wa Jengo la Ghorofa 15 lililoporomoka leo asubuhi mitaa ya Zanaki na Hindra Ghandi na kusababisha watu zaidi ya 1o kupoteza maisha.  
 Kamanda wa Kanda Maalumu ya Kipolisi Dar Es Salaam Suleman Kova Akitoa Ufafanuzi kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Jakaya Kikwete wakati alipofika Eneo la tukio lililoporomoka katika mtaa wa Zanaki na Hindra Ghandi asubuhi ya leo.

JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA MHANDISI MKUU (MAIN CONTRACTOR) WA JENGO LILILOPOROMOKA NA MHANDISI WA WILAYA YA ILALA AMBAYE NDIE ALIYETOA KIBALI CHA KUJENGWA JENGO HILO LAKINI PIA MKUU WA MKOA WA DSM AMETANGAZA KUSITISHA UJENZI WA JENGO LINGINE LILILOPO PEMBEZONI MWA JENGO LILILOPOROMOKA AMBALO PIA LINASIMAMIWA NA MHINDISI HUYO HUYO ANAYESHIKILIWA NA JESHI LA POLISI

No comments:

Post a Comment