Wednesday, March 06, 2013

MBUNGE SHAROBARO WA KENYA ASHINDA KWA KISHINDO


HONGERA SANA MIKE SONKO: THE NEW SENATOR OF NAIROBI COUNTY


Gidion Kioko Mbuvi almaarufu kwa jina la Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA ashinda kwa kishindo nafasi ya usenator wa County ya Nairobi kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi. Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi. Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake. 


Hongera sana SUGU wa KENYA.

Gidion Kioko Mbuvi almaarufu kwa jina la Mike Sonko (Sheng for "rich person") kupitia chama cha TNA ashinda kwa kishindo nafasi ya usenator wa County ya Nairobi kwa kupata kura 57% ya kura zilizopigwa.

Katika awamu iliyopita Hon Sonko alikuwa ni Mbunge wa Jimbo la Makadara-Nairobi. Na mmoja ya wabunge waliosimama kidete kupigania maslahi ya vijana hasa wale wa hali ya chini katika maeneo yote ya viunga vya jiji la Nairobi. Hii ni inadhihirisha wazi imani kubwa waliyonayo vijana wote wa viunga vya Nairobi dhidi yake.
HONGERA SANA MIKE SONKO: THE NEW SENATOR OF NAIROBI COUNTY

No comments:

Post a Comment