Monday, March 25, 2013

MWIMBAJI WA BARNABAS NAYE AKIANIKA "KICHUPI CHAKE"....


Nadhani aliliona  gauni  lake  ni  zito na  ndo  maana  kaamua  kulifunua  ili  tuione  nguo  yake  ya   ndani......

Huko  ni  kujishushia   thamani.Naungana  na  mtandao wa GPL ulioripoti  leo  kuwa  Wasanii  wa  bongo  wataendelea  KUCHEZEWA , KUJAZWA  MIMBA.....na kisha KUTELEKEZWA

Ni mwanaume  gani  atakaye  oa  mwanamke  asiyejitambua????

No comments:

Post a Comment