Saturday, March 16, 2013

P-Square Sasa Wawekeza Kwenye Biashara Ya Mafuta...


Kundi la wasanii kutoka Nigeria ambalo linafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki Africa likijulikana kama P-Square,ambapo kwa sasa wanatamba na track yao inayojulikana kama ''Alingo'' sasa wawekeza pesa za kutosha katika biashara ya uuzaji wa mafuta.
Peter aliefunguka kwenye ukurasa wake wa twitter kwa kusema hayo na pia kwa kutupia picha kadhaa ambazo zilimuonesha yeye na kaka yake wakiwa katika moja ya sehemu ya kutunzia mafuta.

No comments:

Post a Comment