Friday, March 29, 2013

VIONGOZI WALIOFIKAENEO LA TUKIO KWENYE JENGO LA GHOROFA LILILOANGUKA KATIKATI YA JIJI, DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadik, akihojiwa na wanahabari kuhusu tukio hilo.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum (CP), Suleima Kova.


Kamanda wa Polisi Kanda Maalum (CP), Suleima Kova akiwa katika eneo la tukio. Kulia ni Mbunge wa viti maalum (NCCR-Mageuzi James Mbatia.Endelea kupitia dj-sek. blogspot kwa taarifa ziadi ..

No comments:

Post a Comment