Sunday, March 31, 2013

WEDDINGS: KUPA NA JIMMY  WA BONGO MOVIE WAOA,,,,,,, UWOYA NA MAINDA.. MAVAZI YAO MMMHHH


 Swahiliwood actors Jimmy and kupa  jana waliamua wote kwa pamoja kufunga ndoa na wachumba wao wa siku nyingi hivyo kufanya sherehe ya ndoa zao katika siku moja. Jimmy alimuoa Salma na Kupa alimuoa Mary. Many Swahiliwood celebrities were there to support their fellow actors, actor Muhsin Awadhi( Dr. cheni) ndiye alikuwa MC wa shughuli hiyo.
                                                      Mabwana na mabibi harusi
Licha ya mastaa wengi kuvaa vizuri na kupendeza lakini Irene Uwoya na Mainda walikuwa ni miongoni mwa mastaa waliovaa vibaya/worst dressed stars by exposing sehemu kubwa ya matiti yao. Uwoya ambaye ameshindwa kujirudisha katika shape yake yenye mvuto tangu ajifungue kwa kujiachia kunenepa alivaa gauni ambalo halikumpendeza na pia rangi ya gauni haikumkaa vizuri yeye kama star. Mainda anayedai kuokoka alivaa kigauni kifupi kilichoonekana kumpa shida katika pose akiwa amekaa huku kikiacha sehemu ya matiti yake na kuonyesha tatoo zake. Angalia picha hizo.........
                                                                 Jackline Wolper katika pozi
                                                                   Irene Uwoya
                                                                  Jacob Stephen(JB)
                                                                        Mainda katika kivazi chake
                                                          Jenifer Kyaka(Odama)
                                                        Salma Jabu(Nisha)
                                                                     Steve Nyerere

No comments:

Post a Comment