Saturday, April 13, 2013

                     AIBU: DANGURO LA UCHI LANASWA

 
Kampeni ya Fichua Maovu inayoendeshwa na Gpl inazidi kuibua mazito! 

Safari hii imefanikiwa kunasa danguro la ufuska linalodaiwa kutumia na wasanii chipukizi wa muziki na filamu za Kibongo ambalo ni zaidi ya yale yaliyotendeka enzi za Sodoma kabla ya dunia kuangamia....
 

Kwa muda mrefu Risasi lilipokea malalamiko ya majirani katika nyumba moja iliyopo Temeke, jijini Dar es Salaam kuwa kuna danguro linalotumiwa na mabinti chini ya umri wa miaka 18 kwa ajili ya kuuza miili yao kwa wanaume huku baadhi yao wakiwa ni wasanii chipukizi wa filamu na muziki wanaohangaika kutoka kisanaa.

No comments:

Post a Comment